Thursday 18 April 2013

VIJIMAMBO: Wabunge sita wa Chadema wasimamishwa kushiriki shughuli za bunge kwa siku 5.

VIJIMAMBO
thumbnail Wabunge sita wa Chadema wasimamishwa kushiriki shughuli za bunge kwa siku 5.
Apr 18th 2013, 23:46

Wabunge sita wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema akiwemo mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni wamesimamishwa Kushiriki katika shughuli za bunge kwa siku tano baada ya kutokea hali ya sintofahamu bungeni April 17,2013 wakati mkutano wa 11 ukiwa katika kikao chake cha nane ukiendelea,hali iliyomlazimu naibu spika wa bunge Job Ndugai kusitisha shughuli za bunge katika hali isiyo yakawaida

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment