Mwimbaji Frank Ocean ambae alikiri kwamba anashiriki mapenzi ya jinsia moja akiwa anapanda jukwaani baada ya kutangazwa mshindi wa Best Urban Contemporary Album, kwa mbali mwenye nguo nyeupe aliekaa ni Chris Brown ambae hawaelewani, wako kwenye beef ambayo ilimfanya Chris Brown kugoma kusimama wakati watu wengine waliposimama kumshangilia Ocean.
Mwimbaji Adele aliona kitendo hicho na alimpa makavu live Chris Brown kwa kitendo chake. Bofya read more ukitaka kujua zaidi
Hapa frank Ocean akipata tuzo yake na pembeni yake kuna the Dream na Jay-z
Frank Ocean akitoa shukrani zake baada ya kupokea tunzo
|
Abele huyo huyo licha ya kumchana makavu live Chris Brown kwakitendo chake bado aliweza kupata ukodak na wote pamoja. Ingawa alifanya hivyo kwa nyakati tofauti bila wenye kujua hilo. Habari ndiyo hiyo labda ulipitwa kidogo ukiwa unashanga kivazi cha.............malizia basi..am out. |
No comments:
Post a Comment