Monday 4 February 2013

VIJIMAMBO: Kwa niaba ya familia ya DJ Rich Maka, ndugu na marafiki zake tunapenda kuwaalika kwenye misa ya kumbukumbu ya marehemu mzee Edson Mwandemani itakayofanyika Febr saturday 23

VIJIMAMBO
thumbnail Kwa niaba ya familia ya DJ Rich Maka, ndugu na marafiki zake tunapenda kuwaalika kwenye misa ya kumbukumbu ya marehemu mzee Edson Mwandemani itakayofanyika Febr saturday 23
Feb 5th 2013, 04:32


Ndugu wapendwa: Kwa niaba ya familia ya DJ Rich Maka, ndugu na marafiki zake tunapenda kuwaalika kwenye misa ya kumbukumbu ya marehemu mzee 

Edson Mwandemani itakayofanyika. 
Katika kanisa la Mtakatifu Michael 254 State Street, 
Springfield, Ma 01103 
toka saa tisa alasiri (3pm -4pm) 
na reception itafanyika St. 
Mark Armenian Church iliyoko 2427 Wilbraham Road, 
Springfield, Ma 01129 
 surtaday febr 23 saa kumi jioni. 
Mpaka saa nne usiku (4pm -10pm).

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment