Saturday 2 February 2013

VIJIMAMBO: MAONI YA WATANZANIA WENGI JUU YA NANI ANAEFAA KUIWAKIRISHA TANZANIA BIG BROTHER MWAKA HUU

VIJIMAMBO
thumbnail MAONI YA WATANZANIA WENGI JUU YA NANI ANAEFAA KUIWAKIRISHA TANZANIA BIG BROTHER MWAKA HUU
Feb 3rd 2013, 04:33

Tid na Wema Sepetu ndiyo mastaa wa Tanzania wanaopendekezwa zaidi kuiwakirisha Tanzania mwaka huu katika jumba la Big Brother Africa. Inasemekana kuwa Wema Sepetu ambae amesha wahi kuwa miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu ameonekana kinyemela akiwa katika office za DSTV kwenda kuchukua form hizo za ushiriki. Na sasa anaesubiriwa ni Tid kama na yeye pia atajiunga na Wema kuchukua form hizo kama alivyo kuwa amesema baada ya kuulizwa na chombo kimoja cha habari. Form hizo ndizo zinazo kuwezesha upate nafasi ya kushindania mapesa hayo ya BBA. Wengine wanaopendekezwani ni Lisa Jensen na Fezza Kessy.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment