Monday 4 February 2013

VIJIMAMBO: MKURUGENZI WA UNESCO ATEMBELEA MJI MKONGWE ZANZIBAR.

VIJIMAMBO
thumbnail MKURUGENZI WA UNESCO ATEMBELEA MJI MKONGWE ZANZIBAR.
Feb 5th 2013, 00:11

 -Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (kushoto)akipata maelezo ya vitu vinavyotengenezwa kwa kutumia Kombe za Pwani kwa Meneja wa Duka la Fahari Zanzibar Azza Salum  katika moja ya maduka alioingia katika Sehemu za Mji Mkongwe ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
 Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (kushoto)akiangalia Utamaduni wa Ususi wa Kindu ambazo hutengezewa vitu mbalimbali,makawa, Mikeka hata Mikoba katika moja ya maduka alioingia katika Sehemu za Mji Mkongwe ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
 Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (wanne kutoka kushoto)akitembelea sehemu za Mji Mkongwe wa Zanzibar ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar
 Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (Wapili kulia)akiangalia Jumba la Bait El Ajaib Farodhani ambalo liliporomoka a sasa likifanyiwa Ukarabati ndani ya  Mji Mkongwe ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar

Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (kulia)akipata maelezo ya Vifaa alivyokuwa akitumia Mfalme Said Bin Sultan kwa Mkurugenzi Idara ya Makumbusho Dk Amina Amei Issa  baada ya kutembelea jumba Wananchi Forodhani ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
 
PICHA Kwa hisani ya SALMA SAID ZANZIBAR.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment