Ndugu wanajumuia,
Mwanajumuia mwenzetu Onesmo Fue amefiwa na baba yake mzazi
mzee Elibariki Fue Mbwambo.
Marehemu alipatwa na mauti akiwa nyumbani kwake Moshi,
Tanzania baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Mfiwa na familia yake wanaishi
2002 S. Mason Rd. Apt 723, Katy. TX 77450.
Namba ya simu ya Fue ni 832-549-1853.
Tafadhali ungana na Watanzania wenzako kuifariji familia ya marehemu
katika kipindi hiki kigumu kwao. Tutaendelea kutoa taarifa zaidi kadri zitakavyo patikana.
Mungu amulaze mahali pema peponi baba yetu mzee
Elibariki Fue Mbwambo.
Amen.
Emmanuel .C. Emmanuel Katili
No comments:
Post a Comment