Wednesday, 22 May 2013

VIJIMAMBO: MSIBA DMV NA TANZANIA

VIJIMAMBO
thumbnail MSIBA DMV NA TANZANIA
May 23rd 2013, 01:53


Martin Ngireu Enzi ya Uhai Wake
Familia ya Ngireu inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa baba yao Martin Ngireu kilichotokea siku ya Jumanne May 21, 2013 katika Hospitali ya Holy Cross iliyopo Silver Spring, Maryland, nchini Marekani.

Mwili wa marehemu umehifadhiwa Donalson Funeral Home, iliyopo 313 Talbot Avenue, Laurel MD na kutakua na Misa na kumuaga marehemu siku ya Jumamosi May 25, 2013 kuanzia saa 6 mchana mpaka saa 10 jioni (12-4pm) baada ya hapo kutakua na chakula kwenye address 210 Patuxent Road, Laurel MD

Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu inafanywa na kama ilivyodesturi yetu kupena pole ndio ustaarabu wetu tafadhali pita 210 Patuxent Road, Laurel MD kwapa pole watoto wa marehemu Carol na dada yake waliokuja kutoka Tanzania. Msiba huu ni wetu sote DMV tafadhali tujumuike na tuwafiriji wafiwa. Kushirikiana na kushikamana kwa shida na raha ndio staili na maisha yetu DMV.
Kwa maelezo na maelekezo tafadhali wasiliana na Mtoto wa Marehemu Carol 301 957 4523.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment