Spika wa bunge Mh. Anne Makinda ameliahirisha bunge kwa dharura kupisha kamati ya kudumu ya kanuni za bunge kukutana kwa ajili ya kuijadili hotuba ya kambi rasmi ya upinzani iliyokuwa ikisomwa bungeni kwa madai ya kuwa na baadhi ya maneno ya uchochezi na baadae kutoa maamuzi ya kuondolewa kwa maneno yote yaliyoko katika ukurasa wa kwanza hadi 14 wa hotuba hiyo
No comments:
Post a Comment