Wednesday, 15 May 2013

VIJIMAMBO: UNAFIKIRI NANI ATAIBUKA MSHINDI WA AMERICAN IDOL????

VIJIMAMBO
UNAFIKIRI NANI ATAIBUKA MSHINDI WA AMERICAN IDOL????
May 16th 2013, 01:09

Kree Harrison
Candice Glover

Hawa ndio walishindana jana kwenye fainali ya American Idol na mshindi atatokana na kura zitakazopigwa na kutangazwa Alhamisi May 16, 2013, Kama uliangalia mashindano haya ya fainali, unafikiri nani ataibuka mshindi?

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment