Mashirika ya kijamii yafanya maandamano dhidi ya mishahara ya wabunge. Baadhi ya waandamanaji wamwaga nguruwe walioandikwa "MPigs," bungeni Kenya, wakilinganisha Wabunge (MPs) na nguruwe. Pia wamemwaga damu kama ishara ya ulafi na unyonyaji wa wabunge
You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.
No comments:
Post a Comment