Thursday 3 January 2013

VIJIMAMBO: MATANANGE WA COASTAL UNION NA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI

VIJIMAMBO
thumbnail MATANANGE WA COASTAL UNION NA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI
Jan 3rd 2013, 23:28


Kiungo wa Coastal Union ya Tanga, Jerry Santo akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Azam FC ya Dar es Salaam, Salum Abubakar katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar usiku huu. Timu hizo zilitoka 0-0.
Hatari langoni mwa Coastal
Suleiman Kassim 'Selembe' akimuacha chini Khamis Mcha 'Vialli'
Kipre Balou akiuwahi mpira mrefi dhidi ya Jerry Santo wa Coastal
Himid Mao wa Azam na Mohamed Mtindi wa Coastal Union wakigombea mpira

Picha zote kwa hisani ya Bin Zubery Blog

Kwa picha zaidi Bofya read more
Himid Mao na Salum Abubakar wakishirikiana kumpokonya mpira mchezaji wa Coastal
Suleiman Kassim 'Selembe' akimtoka kiungo wa Azam, Khamis Mcha 'Vialli'

Juma Mpongo amedaka mbele ya mshambuliaji wa Azam, Gaudence Mwaikimba 
Brian Umony wa Azam akiwa amemuangukia mchezaji wa Coastal
Hamisi Shengo wa Coastal Union, akitafuta mbinu za kumtoka Humphrey Mieno wa Coastal Union 
Hamisi Shengo wa Coastal Union, akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Humphrey Mieno wa Azam 

Kikosi cha Azam leo
Manahodha Jerry Santo wa Coastal Union na Himid Mao wa Azam FC kulia
Kikosi cha Coastal Union leo
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Bihindi Hamad Khamis akisalimiana na kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar kabla ya mechi ya Kundi B ya Kombe la Mapinduzi kati yao na Coastal Union kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Rais wa ZFA, Aman Ibrahim Makungu akisalimiana na beki wa Azam FC, Joackins Atudo kabla ya mechi ya Kundi B ya Kombe la Mapinduzi kati yao na Coastal Union kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment