Tuesday 22 January 2013

VIJIMAMBO: Polisi yawatawanya waendesha pikipiki (bodaboda) na mabomu ya machozi.

VIJIMAMBO
thumbnail Polisi yawatawanya waendesha pikipiki (bodaboda) na mabomu ya machozi.
Jan 22nd 2013, 20:23

Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia - FFU mkoani Mwanza leo asubuhi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi, risasi za moto pamoja na kutembeza mkong'oto kwa waendesha pikipiki, maarufu kama bodaboda wa jiji la Mwanza ambao walikuwa wakipambana na askari wa kikosi cha usalama barabarani wakipinga kukamatwa kwa pikipiki zao, katika operesheni iliyoendeshwa na jeshi la polisi mkoani humo.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment