Wednesday 17 April 2013

VIJIMAMBO: MASHINDANO YA NGUMI TEMEKE YANAENDELEA BILA WADHAMINI

VIJIMAMBO
thumbnail MASHINDANO YA NGUMI TEMEKE YANAENDELEA BILA WADHAMINI
Apr 17th 2013, 23:18


Bondia Athumani Yanga wa timu ya Ashanti Boxing ya Ilala akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Yusuph Saidi wa Kokoto wakati wa mashindano ya Klabu bingwa ya wilaya ya temeke yaliyoanza jana Yanga alishinda kwa point na kupereka shagwa katika klabu ya Ashanti
Bondia Athumani Yanga wa timu ya Ashanti Boxing ya Ilala akioneshwa mkono juu baada ya kumpiga Yusuph Saidi wa Kokoto wakati wa mashindano ya Klabu bingwa ya wilaya ya temeke yaliyoanza jana Yanga alishinda kwa point na kupereka shagwa katika klabu ya Ashanti.
Bondia Husein Mawimbi wa Amana akinyooshwa mkono juu baada ya kumpiga kwa point bondia Said Mabunda wakati wa Mashindano ya Klabu bingwa wilaya ya temeke Dar es salaam jana Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment