RODGERS EXPORTS, L L C.
Inawatangazia watanzania wote na marafiki ukusanyaji wa mizigo COLUMBUS na CANTON, OH wasiliana na Haji (919)672-6063, au Feisal Njenje (919)627-4844 Ndugu mtanzania chukua nafasi hii kusafirisha mzigo wako kwa njia ya contena kwenda zanzibar na Dar-es-salaam Tanzania,kwa bei nafuu.
Bila ya kusahau tutarudi tena DC,NY,CT, na MA alhamisi
Aprl-25,(Departure of this container is April 27th.
Remember our first priority is safety of your products.
Thank you for your business.
HAJI ABDULLA
CEO RODGERS EXPORTS LLC
FOLLOW US ON TWIttarTER @RodgersExports
No comments:
Post a Comment