Wednesday, 17 April 2013

VIJIMAMBO: BONDIA FADHILI MAJIHA ARUDI NA UBINGWA KUTOKA INDONESIA

VIJIMAMBO
thumbnail BONDIA FADHILI MAJIHA ARUDI NA UBINGWA KUTOKA INDONESIA
Apr 17th 2013, 23:12

Bondia Fadili Majia akiwa na kombe la ubintaifa wa wa ngumi kimaifa alililinyakua nchini Indonesia wiki iliyopita alipo mpiga bondia Heri Amol  hapa alipo rakiwa baada ya kurudi dar es salaam jana kutoka kushoto ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini wengine ni mabondia Japhet Kaseba, Kanda Kabongo na Pendo Njau

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akifurahia jambo na bondia pendo Njau baada ya kumpokea bondia Fadhili Majiha katikati aliyerudi na kombe la ubingwa aliouchukua Indonesia wiki iliyopita  baada ya kumtwanga bondia Heri Amol wa pili ni Japhet Kaseba mwingine ni Kanda Kabongopicha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment