Tuesday, 12 February 2013

VIJIMAMBO: AKIJATENGENEZWA NI MAAJABU TU WAPENDWANAO MPO HAPO SASA MWONYESHE UNAJARI INGAWA SIKU ZOTE UNAMJARI LAKINI IFANYA SIKU HII IWE MAALUM

VIJIMAMBO
AKIJATENGENEZWA NI MAAJABU TU WAPENDWANAO MPO HAPO SASA MWONYESHE UNAJARI INGAWA SIKU ZOTE UNAMJARI LAKINI IFANYA SIKU HII IWE MAALUM
Feb 13th 2013, 01:59

Makepeace Island off Australia's Sunshine Coast is the perfect retreat for any romantic couple
Kisiwa hiki kinajulikana kwa jina la makepeace island kipo Australia. Nikisiwa maarufu sana hasa ifikapo siku ya wapendanayo. Kama unavyoona kina mchoro unaofanana na moyo kwaiyo watu upenda kwenda kutulia hapa na wapendwa wao ifikapo siku ya wapendanayo. Kisiwa hiki hakijatengenezwa bali ni mother nature. Labda utaipenda hii kwa siku kama hiyo ya malavidave.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment