Tuesday, 12 February 2013

VIJIMAMBO: HAPA NA PALE MAMA YANGU NDIYO MCHAWI WA MAFANIKIO YANGU DIAMOND AFUNGUKA PITIA HABARI HII

VIJIMAMBO
thumbnail HAPA NA PALE MAMA YANGU NDIYO MCHAWI WA MAFANIKIO YANGU DIAMOND AFUNGUKA PITIA HABARI HII
Feb 12th 2013, 22:21

Huenda ile story ya kwamba Diamond amepata na anaendelea kupata mafanikio kutokana na kutumia waganga wa kienyeji si kweli!! You never know! Staa huyu ambaye gazeti la Daily Nation limemtaja kuwa miongoni mwa wasanii wa Bongo Flava matajiri zaidi, yupo karibu mno na mama yake mzazi na pengine ndio maana anafanikiwa, nani kama Mama? Vipi kama mafanikio yake ni thawabu halisi kutoka kwa Mwenyezi Mungu?
Hizi ni picha ambazo Diamond ameziweka kwenye website yake na kuandika kwenye moja ya picha hizo: Siku zote kabla ya kwenda popote lazima tupitie kwa mama yetu mpendwa atupe Barka zake na nyingine hiyo juu akiandika: Nikipokea baraka za Mama ….Nijaliwe Mema….na Niende kwa Amani…!!
Hii ndo Ilikuwa Outfit ya Jana.....!!

skuzote kabla ya kwenda popote lazma tupitie kwa mama yetu mpendwa
atupe Barka zake....!!
Nikipokea baraka za Mama ....Nijaliwe Mema....na Niende kwa Amani...!!
WASAFIIIII......!!
Tulivofika Nje tukaanza Kukoki SMG zetu kabisaaa...!!
Ramadhani Mpauka......!!
Nikiwa na Abdallah Mjukuu wa Ambua toka EATV
mi Humwitaga Dullah Planet
Nikiwa Naingia Maishani ....!!
Nikiwa naYvonne,Fetty Kitasa & Prince BrotherMan Dully Sykes...!!
Mwaulanga pia Ndani...
Ommy Dimpoz akihojiwa na Sesar wa CLOUDS fm Juu ya lAUNCHING ya Video yake..!!
Poz kwa Poz OMMY DIMPOZ & PRESIDENT HIMSELF ..!
Nikiojiwa na Sesar wa Clouds Tv Juu ya Uwepo wangu kwenye Launching Hiyo..!
Nani Amenuna....?? Aii Nasema Nani Amenuna.....??

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment