Tuesday, 12 February 2013

VIJIMAMBO: NAIBU WAZIRI WA ELIMU TANZANIA ATOA KALI YA MWAKA PITIA HABARI HII NA WEWE UJUE JUU YA UPEO WAKE WA KUELEWA KAZI YAKE NAIBU WAZIRI HUYU.

VIJIMAMBO
thumbnail NAIBU WAZIRI WA ELIMU TANZANIA ATOA KALI YA MWAKA PITIA HABARI HII NA WEWE UJUE JUU YA UPEO WAKE WA KUELEWA KAZI YAKE NAIBU WAZIRI HUYU.
Feb 12th 2013, 23:38

WAZIRI MULUGO
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, naibu waziri wa elimu katika serikali JK ametoa mpya ya kufungua mwaka baada ya kuulizwa juu ya maendeleo ya mitihani ya kidato cha sita iliyoanza leo. Alipoulizwa na kituo cha EATV kupitia kipindi cha HOTMIX, waziri huyo mwenye historia ya kutofahamu vyema historia ya nchi yake alitoa jibu kuwa.....

"Sina taarifa yoyote kuhusiana na kuanza kwa mitihani ya kidato cha sita, kwasasa nipo kwenye kikao cha NEC, labda waulizeni waliopo DSM ofisini. Alipoulizwa zaidi aliendelea kusema mimi sijui kuhusiana na mitihani ya kidato cha sita". Huyu ndie Naibu waziri wa elimu ndugu Mulugo.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment