Usiku wa jana nilikua na kibarua kizito cha kuhakikisha Nakonga na
Kufurahisaha nyoyo za Wafanyakaziwa CBA BANK na wageni waalikwa kwenye
Party ya CBA BANK
iliyofanyika Hyatt Regency zamani kama Kempinsk Hotel....Kiukweli
nimshkuru sana Mwenyez Mungu kwa kuweza kunisimamia
vyema na Kufanikisha zoezi hilo....Ntakua mchoyo wa Fadhira sana endapo
kama nisipoushkuru Uongozi mzima wa Bank
ya CBA kwa kuweza kunipa fulsa hiyo vilevile
Kampuni ya SCANAD TANZANIA LTD bila kuisahau team yangu nzima
ya WASAFI......! haya ndio yaliyojiri Diamond alisema hayo.
Emma Platnumz na Ramadhan Mpauka
Rommy Jones On The One n Two.....!!
WASAFIIII.....!!
Weeeeeh....!
Afe kipa afe beki Ushindi LAZIMA!!!
-
Ramadhani Mpauka...!
Kiukweli ilikua ni moja Corporate Event iliyonipa raha sana pindi nikiwa kwenye stage
Maana walikua wako very Active... yaani walikuwa
na mizuka saa zote......!!!
Ni mwendo wa Kwaito tu....
Asantee
Mashetani ya Kimanyema yakaanza sasa.....
Nikukiamsha tu.....!!!
Ni Kumwaga radhi tu....
No comments:
Post a Comment