Saturday 23 February 2013

VIJIMAMBO: SNURA ATIRIRIKA NA KUSEMA KUWA MAFANIKIO YAKE AWEZI KUTEGEMEA WAGANGA KIUNO CHAKE NI ASSET TOSHA

VIJIMAMBO
thumbnail SNURA ATIRIRIKA NA KUSEMA KUWA MAFANIKIO YAKE AWEZI KUTEGEMEA WAGANGA KIUNO CHAKE NI ASSET TOSHA
Feb 24th 2013, 01:16

Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayetesa na staili ya Mauno anapokuwa jukwaani "Snura Mushi aka 'Snura' siku za hivi karibuni akihojiwa na mwandishi wetu mwanadadahuyo amefunguka na kusema kuwa anafanya kazi zake kwa kujituma na hajiusishi na ushirikina hata kidogo ili kupata mafanikio kwani hadhani kama vina faida katika tasnia ya muziki na wala hajawahi kwenda kwa mganga wa jadi kufanya ushirikina ,Akasema anajiamini as umbo lake ni asset tosha katika fani yake mpya ya mziki
Kwa mujibu wa Snura mwenyewe, Wasanii wenzake na watu mbalimbali wanaotumia ushirikina katika kazi zao hawana uwezo na wanakosa ubunifu kwani watanzania wengi hawawezi kumpokea mtu kwa sababu ya ushirikina hata kama kazi zake ni mbaya

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment