Thursday, 16 May 2013

VIJIMAMBO: Qute Kaye Azushiwa Kifo

VIJIMAMBO
thumbnail Qute Kaye Azushiwa Kifo
May 16th 2013, 23:08



Mwanamziki Qute Kaye wa nchini Uganda amejitokeza kukanusha uvumi ulioenea wiki hii kwenye mitandao ya jamii, kuwa amefariki dunia baada ya kuugua.
 
Msanii huyo anayejulikana kwa vibao vyake kama Ginkese, Gwendota, Njagala Omuwala, pia amekanusha kuumwa.
 Hii si mara ya kwanza msanii huyo aliyeibuka mwaka 2007 na albamu yake Ginkese iliyotesa sana klabu, baa na redioni, kuzushiwa kifo na safari hii uvumi huo ulikuzwa mno.



You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment