Sunday, 2 June 2013

VIJIMAMBO: TAMASHA LA UTAMADUMI WA AFRIAKA MASHARIKI LAFANA,.

VIJIMAMBO
thumbnail TAMASHA LA UTAMADUMI WA AFRIAKA MASHARIKI LAFANA,.
Jun 2nd 2013, 09:16

Mwimbaja wa nyimbo za injili, Johnson Mzava akiimba moja ya nyimbo zake kwenye tamasha la utamaduni wa Afrika Mashariki lililohusisha vikundi mbalimbali vya  vinavyoimba vyimbo za injili na ngoma za asili wakiwemo wabunifu mbalimbali kutoka Afrika Mashariki walioonyesha mavazi  waliyobuni/
Kundi zima la Swahili Revival waiimba kwenye tamasha hilo lililofanyika Jumamosi June 1, 2013 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Kikundi cha utamaduni cha mwambao kikionyesha harusi za pwani ya mombasa zinzvyofungwa.
 Kikundi cha utamaduni toka kikionyesha ngoma kutoka Mbeya, Tanzania.

Mchungaji Niku akijumuika na kikundi kinachoimba wimbo toka Mbeya.
mwimbaji wa nyimbo za ngoma za asili toka Uganda akifanya viu nyake.
Model akipita na vazi lililobunia na mbunifu toka Uganda.
Model akipita na vazi lililobuniwa na mbunifu kutoka Sudan
kwa picha zaidi bofya read more

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment