APPS YA VIJIMAMBO KWA SIMU ZA IPHONE NA ANDROID IPO HEWANI SASA
Wadau wa Vijimambo tunapenda kuwaarifu kwamba Vijimambo Blog sasa ina Apps yake kama unatumia Iphone Au Android unaweza Kuinyonya kutoka kwenye Apps kwa kuandika Vijimambo halafu unabofya tafuta Picha juu ndivyo inavyoonekana kwenye Iphone
Ukishamaliza kuinyonya ukiibonyeza itakupa picha kama unavyoona kwenye picha hii ya kati na chini unaweza kusoma Vijimambo kwa kubofya View Blog au Vijimambo pia itakuwezesha kuwajulisha watu wengine kwa kubofya share
Picha hii chini haipishani na picha ya kati sana ni maswala ya mawasiliano pia itakuwezesha kama unahitaji huduma za DJ na hujui namba yangu unachotakiwa ni kubofya Need a Dj? na utaacha jina contuct zako na moja kwa moja halafu utabofya Send na mimi nitapata taarifa kwenye Email yangu, Vijimambo Team inategemea utafurahiwa na apps hii inavyofanya kazi na lengo kubwa ni kukurahisishia wewe Mdau wa Vijimambo uweze kusoma Vijimambo popote pale utakapokua na kwa urahisi zaidi
ENJOY
No comments:
Post a Comment