Tuesday, 5 February 2013

VIJIMAMBO: HAPA NA PALE MIKE SONKO NI MBUGE KIPENZI CHA VIJA KATIKA BUNGE LA KENYA HUU NDIO USAFIRI WAKE MPYA

VIJIMAMBO
HAPA NA PALE MIKE SONKO NI MBUGE KIPENZI CHA VIJA KATIKA BUNGE LA KENYA HUU NDIO USAFIRI WAKE MPYA
Feb 6th 2013, 02:51



.
Gideon Mbuvi a.k.a Mike Sonko

Ni yule mbunge ambae niliwahi kuona akipigwa vita kuingia bungeni baada ya kuonekana mara kadhaa akiwa ndani ya bunge na amevaa hereni.

Ni mbunge anaependwa sana na vijana ambapo mtandao wa Ghafla umeripoti kwamba mbunge huyo amenunua gari dogo linaloonekana kwenye picha na kuamua kulipia gharama kubwa kwa kuliandika jina badala ya namba, kaliita SENATOR ikiwa ni ishara ya ndoto zake za kuchukua kiti cha Useneta wa jiji la Nairobi.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment