Container likiletwa kwa ajili ya kupakia mizigo ya Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico anayemaliza muda wake RODGERS EXPORTS LLC ya North Carolina ndio imepewa jukumu la kusafirisha mizigo ya Mhe. Balozi.
Mkurugenzi wa RODGERS EXPORTS LLC, Bwn. Hadji (ndani ya Container) akimuelekeza Feisal (dereva wa forklift) kuingiza mizigo ndani ya Container huku vipasa walikuja kusaidia wakiangalia
Hadji na Feisal kushoto) wakipanga mizigo kwenye Container
Hadji akiendelea na ufungaji mizigo ya Mhe. Balozi tayari kwa kuipakia kwenye Container.
Feisal Mwana Njenje (T shirt nyeupe) akisaidiana na vipasa kufunga mizigo ya Mhe. Balozi na baadae kuipakia kwenye Container tayari kwa safari ya Bongo.
Feisal akifunga box lenye vitu vya Mhe. Balozi
Hadji na wasaidizi wake waakiwa kazini.
Hadji akiendelea na ufungaji mabox
Hadji akifunga box huku msaidizi wake akimsaidia
No comments:
Post a Comment