Friday 3 May 2013

VIJIMAMBO: MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 YAFUTWA, MITIHANI SASA KUSAHIHISHWA UPYA

VIJIMAMBO
thumbnail MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 YAFUTWA, MITIHANI SASA KUSAHIHISHWA UPYA
May 4th 2013, 00:41

http://1.bp.blogspot.com/-7qFwN9eBGa4/UGqyL5ldL9I/AAAAAAAALfc/yiadF4qqQ40/s1600/NECTA(10).jpg

TAARIFA KUTOKA BUNGENI MUDA HUU AMBAPO WAZIRI LUKUVI AMETANGAZA KURUDIWA UPYA KUSAHISHWA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA 2012,HII IMETOKANA NA MAPENDEKEZO YALIYO TOLEWA NA TUME ILIYO UNDWA KUCHUNGUZA TATIZO LA WANAFUNZI WENGI KUFELI KATIKA HUO MTIHANI,PIA AMESITISHA KUANZA KUTUMIKA KWA VIWANGO VIPYA VYA UFAULU.

serikali imekubali mapendekezo ya awali ya tume ya uchanguzi ya matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana kufutwa na kusahihishwa upya kupitia mfumo wa usahihishaji wa mwaka 2011 haraka iwezekanavyo

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment