Mchungaji Christopher Mwakasege akiwa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC leo Jumatano May 22, 2013 alipoteumbelea Ubalozi huo wakati alipokua DMV akijiandaa kwa safari ya Minneapolis, Minnesota kesho Alhamisi May 23, 2013 kwa ajili ya 2013 Mana Annual Conference itakayoaanza Ijumaa May 24 - May 26, 2013 na kurushwa LIVE na Blog ya Vijimambo.
Juu na chini ni mchungaji Christopher Mwakasege kutoka Tanzania alivyotembelea Ubalozi wa Tanzania, washington, DC na kuongea mawili matatu na maafisa Ubalozi akiwemo kaimu Balozi Mhe. Lily Munanka.
Afisa Uhamiaji, Bwn. Abbas Missana akiongea jambo wakati walipokuatana na Mwalimu Christopher Mwakasege leo Jumatano May 22, 2013 wakati alipoutembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington, DC.
Kaimu Balozi Mhe. Lily Munanka (kulia) akimsikiliza Mwalimu Mwakasege (hayupo pichani).
Mchungaji Christopher Mwakasege akiongoza maombi wakati alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Washington, DC.
Mwalimu Christopher Mwakasege katika picha ya pamoja na maafisa Ubalozi ukiwemo ujumbe wake alioongozana nao Ubalozini hapo.
No comments:
Post a Comment