"Wasiponifuatilia ntanyamaza watakuwa marafiki zangu tutapatana"Haya ni maneno ya mwanamuziki maarufu wa Tanzania Lady Jay Dee alipozungumza nasi mwishoni mwa juma, juu ya sakata lake na wamiliki wa Clouds FM radio nchini humo.
Kama wengi ambavyo tayari mmeshasikia kwenye vyombo vya habari mwanamuziki huyu maarufu alitoa wosia ambao kwa kweli ulikuwa mzito.
Kutokana na hilo tulitafuta wasaa wa kuzungumz na naye mwishoni mwa juma na kutaka hasa kujua ni kwa nini alifikia uamuzi wa kutoa maneno hayo aliyotoa na kiini cha sakata lake na uongozi wa Clouds FM , alikubali wito wetu na alikuwa na haya ya kusema . Bofya hapa chini usikie yaliyojiri.
Tulitafuta nafasi ya kuongea na Bw.Joseph Kusaga na tulifanikiwa kumpata atupe upande wake na akasema kwamba atatoa maelezo kamili juu ya sakata hilo kwenye kipindi maalum clouds fm siku ya Jumatatu badala yake Ruge aliongea kwenye kipindi hicho na haya ndio aliyosema
No comments:
Post a Comment