Saturday 25 May 2013

VIJIMAMBO: RODGERS EXPORTS,LLC.

VIJIMAMBO
thumbnail RODGERS EXPORTS,LLC.
May 25th 2013, 23:56

RODGERS EXPORTS,LLC.
Tunatamguliza shukran zetu kwa watanzania wote na marafiki kwa kuitambua 
Rodgers Export,LLC.na huduma bora ya usafirishaji wa mizigo kutoka 
U S A kwanda Tanzania-DSM na Zanzibar.
Ndugu mtaznania na marafiki,tunawatangazia watu wote kwa wale
wanopendelea kusafirisha mizigo kwa njia ya Contena kwenda DSM-ZNZ
mabadiliko ya tarehe kutoka MAY-27 sasa usafiri huo utakua MAY-29,
na kwawale ambao bado wanataka kutumia nafasi hii tunawakaribisha,
wasiliana na HAJI-(919)-672-6063 au FESAL MWANA NJENJE
(919)-627-4844,kwa maelekezo zaidi ya ukusanyaji wa mizigo katika (States)
zifuatazo,NY,NJ,PA,DL,MD,DC,VA,GA,utafanyika jumamosi, na jumapili MAY
25 na 26,Ndugu mtanzania na marafiki tumia Rodgers Exports,LLC.tunatowa
huduma bora na bei nafuu,pamoja na usalama wa mizigo yako, USA na Tanzania.


RATIBA MPYA YA USAFIRISHAJI WA MIZIGO.


Jun-10-2013, kufika tanzania August-12
Jun-27-2013, kufika tanzania September-28
Tembelea katika TAVUTI yetu, WWW.Rodgers Exports.Com

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment