Sunday 27 January 2013

VIJIMAMBO: CRDB YAKOPESHA UJENZI WA KITEGA UCHUMI CHA KANISA

VIJIMAMBO
thumbnail CRDB YAKOPESHA UJENZI WA KITEGA UCHUMI CHA KANISA
Jan 28th 2013, 02:28

Mkuu wa Jimbo Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Mchungaji Anta Muro akizungumza katika hafla ya kuangalia jengo jipya la Kitega Uchumi cha Kanisa la KKKT Usharika wa Msasani.
Baadhi ya wadau waliohudhuria hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akiteta jambo Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malalusa.wakati wa ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi la Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka CRDB. Benki hiyo pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba. 
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malalusa.akizungumza wakati wa ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi la Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka CRDB. Benki hiyo pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba. 
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki wakati wa ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka benki hiyo. Kushoto ni Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Dk Alex Malalusa na Naibu Katibu Mkuu Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Mchungaji Chadiel Sendoro. CRDB pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba. 


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akipokea ufunguo kutoka kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malalusa (wa pili kushoto) wakati wa ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi la kanisa hilo Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka benki hiyo. CRDB pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akipeana mkono na Askofu Malasusa baada ya kumkabidhi ufunguo ya jengo hilo ambapo benki hiyo ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo.
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyo akipeana mkono na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malalusa.wakati wa ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi la Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka CRDB. Benki hiyo pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba. 
Mkuu wa Jimbo Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Mchungaji Anta Muro akiomba baraka. kwa ajili ya jengo jipya la Kitega Uchumi cha Kanisa la KKKT Usharika wa Msasani.
Askofu Malasusa akitoa baraka.
Wadau
Mandhari ya Ukumbi wa mikutano katika jengo la kitega uchumi la Msasani Multpurpose Development Centre (MMDC)
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malalusa akikagua jengo la kitega uchumi la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka benki ya CRDB. CRDB pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment