Friday 3 May 2013

VIJIMAMBO: TIGO WALIPOFURAHI KWA PAMOJA NA MABLOGER USIKU HUU HOTELI YA NEW AFRICA DAR

VIJIMAMBO
thumbnail TIGO WALIPOFURAHI KWA PAMOJA NA MABLOGER USIKU HUU HOTELI YA NEW AFRICA DAR
May 3rd 2013, 23:19



Mmoja kati ya wageni waalikwa katika 'Party Mchapalo', iliyowakutanisha wadau wa Mtandano wa Simu za Mkononi Tigo na Wamiliki wa 'Magazeti Mtandao', (Blogers) akichagua kadi wakati ilipokuwa ikichezeshwa droo ya kuwapatia zawadi za Simu za mkononi, Ipad,na Moderm za tigo, mabloger hao, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya New Africa usiku huu. 
Baadhi ya wamiliki wa mitandao Pendwa, kutoka (kulia) ni mmiliki wa mtandao huu wa Sufianimafoto.com, Dina Ismail Blog, King Kiff Blog na Blogu ya wananchi, wakipozi kwa picha wakati wa hafla hiyo.
Wahudumu wa Tigo, wakijiandaa kupokea wageni pande hizo.
Wahudumu hao wakimpokea na kumhudumia, mwandishi wa habari, Julius Kihampa, pande hizo.
Huku ndani wengine walikwishaanza kujisevia yaani 'kujidownlodia' vinywaji na kuapload vinywani mwao kama kawa, kama dawa.
Kulia ni Meneja wa Mtandao huu Nasma Mafoto, akiwa na shosti wake waliyekutana katika mchapalo huo.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment