Sunday 24 March 2013

VIJIMAMBO: TASWIRA ZA MECHI YA STARS NA MOROCCO

VIJIMAMBO
thumbnail TASWIRA ZA MECHI YA STARS NA MOROCCO
Mar 25th 2013, 00:05

Mshambuliaji wa Taifa Stars, Thomas
Ulimwengu akichuana na beki wa Morocco, Achchakir Abderrahm katika mchezo wa
kufuzu fainali za kombe la Dunia 2014 uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam jana. Stars ilishinda 3-1.

Kikosi cha Taifa Stars kilichoisambaratisha timu ya Morocco kwa mabao
3-1 katika mchezo wa kufuvu fainali za kombe la Dunia uliofanyika kwenye Uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha Morocco.
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania 'Taifa Stars', Mbwana Samata akiruka juu
kushangilia bao la 3 aliloifungia timu yake dhidi ya Morocco katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la Dunia
zitakazofanyika Brazil 2014 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Amri Kiemba
na Thomas Ulimwengu.
Mshambuliaji wa Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akichuana na beki wa Morocco, Achchakir Abderrahm katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la Dunia 2014 uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Stars ilishinda 3-1.
Picha zote kwa hisani ya Full Shangwe
Picha zaidi bofya read more
Mbwana Samata kiwania mpira.
Nyota wa mchezo, Mbwana Samata ambaye aliipatia timu yake mabao 2
Thomasi Ulimwengu akichuana na beki wa Morocco.
Raha ya ushindi.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment