Saturday 30 March 2013

VIJIMAMBO: KWAYA YA KANISA LA INJILI KWA NJIA YA MSALABA YAJINOA TAYARI KWA PASAKA

VIJIMAMBO
thumbnail KWAYA YA KANISA LA INJILI KWA NJIA YA MSALABA YAJINOA TAYARI KWA PASAKA
Mar 31st 2013, 04:44

Dogo akiwasikiliza wanakwaya wa kanisa la injili kwa njia ya msalaba, College Parka wakati walipokua wakifanya mazosezi makali tayari kwa Ibada ya pasaka itakayofanyika leo Jumapili March 31, 2013 kuanzia saa 7 mchana (1pm)/
mcharaza kitaa linaloonoza akiwa katika mazoezi makali
Kiongozi wa kwaya, Mubelwa Bandio akiwanoa wanakwaya kwa ajili ya Ibada ya pasaka itakayofanyika leo Jumapili March 31, 2013 kanisani hapo kuanzi saa 7 mchana

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment