Saturday 30 March 2013

VIJIMAMBO: SKYLIGHT BAND YATUA JIJINI MWANZA USIKU WA KUAMKIA LEO IKIWA IMEJIPANGA KUPAGAWISHA USIKU HUU JB BELMONT HOTEL.

VIJIMAMBO
SKYLIGHT BAND YATUA JIJINI MWANZA USIKU WA KUAMKIA LEO IKIWA IMEJIPANGA KUPAGAWISHA USIKU HUU JB BELMONT HOTEL.
Mar 31st 2013, 03:18


Wapiga vyombo wa Skylight Band wakati wakiwa safarini kuelekea jijini Mwanza tayari kuwapagawisha wakazi wa Mwanza katika sherehe ya Pasaka.
Wengine walikuwa hoi kutokana na kukesha katika show zao za Kila Ijumaa kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village jijini Dar.
Mmoja wa wakung'uta magitaa akishuka kwenye basi la Band hiyo baada ya kuwasili Villa Park Resort ya jijini Mwanza huku mvua kali ikiwa inanyesha ikiashiria Baraka na Neema kwa Band hiyo.
Joniko Flower akishuka kwenye basi la bendi hiyo.
Aneth Kushaba AK47.
Sam Mapenzi naye hakubaki nyuma timu nzima ikiwa imekamilika.
Mary Lukas ndani ya jiji la Mwanza.
Vijana wa Skylight Band wakisubiri msosi baada ya kutua jijini Mwanza.
Kikosi kazi cha Skylight Band kikipata chakula cha usiku kwenye kiota maarufu jijini Mwanza Villa Park Resort.
Vijana wa kazi wakijinoma samaki wa Mwanza.
Hawa ndio madereva waliofanikisha wanamuziki wa Skylight Band pamoja na vyombo vyao kufika salama jijini Mwanza, Mungu ni Mkubwa.
kwa picha zaidi bofya read more

MC Adam Mchovu wakati wa hafla ya SKYLIGHT Parties kwa mara ya kwanza kutambulishwa jijini Mwanza akiendesha maswali kwa wakazi wa jiji hilo kwa ajili ya kujishindia T-Shirts za Skylight Parties ikiwa ni shamra shamra za sherehe ya Pasaka.
Pichani juu na chini ni Umati wa wakazi wa Mwanza uliofurika kwenye ukumbi wa Villa Park Resort kuruka kwanja za Ma DJ's mahiri akiwemo DJ Zero wakati wa hafla ya kutambulisha Skylight Parties jijini Mwanza.
MC Hamis Mandi a.k.a B-Dozen akisikiliza majibu ya swali kutoka kwa mmoja wa wakazi wa Mwanza waliohudhuria Skylight Parties kwa mara ya kwanza kwa wakazi wa jijini hilo.
B-Dozen na Fans wa Skylight Parties jijini Mwanza kwenye kiota cha Villa Park Resort.
Kwanja kutoka kwa Ma DJ's wakali likiwa limewakolea wakazi wa Mwanza.
Umati wa wakazi wa Mwanza ukila bata na SKYLIGHT Parties kwa mara ya kwanza kutambulishwa jijini humo.
Palikuwa hapatoshi.....Shukrani wa wakazi wa Mwanza kuwa kushow love na Skylight Entertainment.
B-Dozen akishow love na Fans wake.
Binti mrembo kutoka Clouds Media Shadee alikuwepo kutia shamrashamra hafla ya Skylight Parties.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment