Saturday 30 March 2013

VIJIMAMBO: DARASA LA LUGHA YA KISWAHILI KWA WATOTO, DMV

VIJIMAMBO
thumbnail DARASA LA LUGHA YA KISWAHILI KWA WATOTO, DMV
Mar 31st 2013, 04:22


Mwalimu Flora Mkande akiwaelekeza jambo watoto wa Kitanzania wanaojifunza lugha ya kiswahili katika madarasa yanayoendelea College Park, Maryland chini ya Jumuiya ya Watanzania DMV.

 Wanafunzi wakipata picha ya pamoja wakati somo likiendelea
Darasa lingine likiendelea huku mwalimu Asha Nyang'anyi akiendelea kuwafundisha watoto lugha ya kiswahili
 Darasa lingine kama unavyoona wanafunzi watoto wa Wazazi Watanzania wakiendelea na darasa lao la kiswahili.
Watoto wanaojifunza lugha ya kiswahili wakiwa darasani
 Watoto wakiwemo darasani wakiendelea kujifunza lugha ya kiswahili
Watoto wakiwemo darasani huku wakisaidiwa na Benadeta (aliyesimama)
 Wanafunzi wakiendelea na somo lao la lugha ya kiswahili huku mwalimu wao akifuatilia jambo
Waliosima watatu katikati ni uongonzi wa Jumuiya Rais Idd Sandaly (wapili toka kushoto), Makamu wake Raymond Abraham (kati), mwekahazina, Genes Malasy (wapili toka kulia) wakifuatilia mafunzo ya watoto yanavyoendea wengine waliosimama ni walimu Asha Nyang'anyi (kushoto) na Benadeta.
kwa picha zaidi bofya read more

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment