Saturday 30 March 2013

VIJIMAMBO: BIRTHDAY YA ANDREW BANDAWE, NEWARK,DE

VIJIMAMBO
thumbnail BIRTHDAY YA ANDREW BANDAWE, NEWARK,DE
Mar 31st 2013, 03:55

Andrew Bandawe ambaye Jumamosi March 30, 2013 alikua anasherehekea miaka 8 ya kuzaliwa kwake sherehe iliyofanyika nyumbani kwao Newark, Delaware, nchini Marekani
 
Andrew akiwa na baba yake Emmanuel Bandawe katika picha ya pamoja.
 wageni kutoka DMV ambao nao walijumuika na familia ya Bandawe katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wao, Andrew Bandawe (hayupo pichani)
 Wageni wakijumuika na familia ya Bandawe kwenye sherehe ya kuzaliwa ya mtoto wao, Andrew Bandawe
 Wageni kutoka New Jersey na Michigan wote kwa pamoja walijumuika na familia ya Bandawe katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wao iliyofanyika Jumamosi March 30, 2013
 Kushoto ni Emmanuel Bandawe na mama mwenye nyumba wake na kulia ni Michael Ngula na mama mwenye nyumba wake na kadogoo wao
 Emmanuel Bandawe na mama mwenye nyumba wake (kati) katika picha ya pamoja na wageni kutoka Michigan, Saada (kushoto) na Anne
Wageni kutoka New Jersey, DMV na Massachusetts katika picha ya pamoja
Wageni wakipiga picha na mwenyeji wao
Jojo (shoto) na Abbas kutoka DMV
kwa picha zaidi bofya read more



You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment