Monday 25 March 2013

VIJIMAMBO: WAJUKUU WAMTAKIA MAMA BISHANGA HAPPY BIRTDAY

VIJIMAMBO
thumbnail WAJUKUU WAMTAKIA MAMA BISHANGA HAPPY BIRTDAY
Mar 26th 2013, 01:44

wajukuu wa mama Bishanga toka Ohio ni Mariam na Lalaih  ambao ni watoto wa Kilian Muya Kamota wanamkabidhi bibi yao zawadi ya keki ya birthday bibi yao na kumtakia maisha marefu ya furaha, amani, na maendeleo. 
 wajukuu wa mama Bishanga tokaTanzania,  Kilian au Mzungu na Mariam ambao ni watoto wa Hery au Kenny wa Mambo hayo, wana sema happy birthday bibi, sisi tumekununulia keki na pipi na biskuti lakini tumekula wenyewe kwakuwa uko mbali, tunakusubiri utuletee zawadi ya ice cream, na daftari na kalamu, tunakupenda sana our grandmom.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment