Tuesday 28 May 2013

VIJIMAMBO: MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA PSPF SASA WANAUZA NYUMBA ZAO KWA BEI NAFUU

VIJIMAMBO
thumbnail MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA PSPF SASA WANAUZA NYUMBA ZAO KWA BEI NAFUU
May 28th 2013, 23:09

MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA
(PSPF)
MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF
Mfuko unapenda kuwataarifu wananchi wote kwamba inauza nyumba zilizojengwa na Mfuko katika mikoa ya Dar es Salaam- Ilala (Buyuni), Morogoro (Lukobe), Tabora (Usule), Mtwara (Mang'amba) na Shinyanga (Ibadakuli).
Bei ya nyumba ni kati ya Tsh 59,000,000.00 hadi Tsh 80,000,000.00 (Bila ya VAT) kulingana na ukubwa wa nyumba na Mkoa nyumba ilipo.   Ukubwa wa nyumba ni kuanzia vyumba viwili hadi vinne. Fomu zinapatikana kwa gharama ya shilingi elfu tano (TShs. 5,000/=) kwenye ofisi za Mfuko zilizopo mikoa yote nchini.
Waombaji wanaohitaji kuona na kukagua nyumba wawasiliane na Mfuko kupitia namba 2120912/52 au 2127376.
"PSPF - Tulizo la Wastaafu"
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Mkurugenzi Mkuu,
Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF),
Golden Jubilee Towers,
Front Tower – Ghorofa ya 6-13,
Mtaa wa Ohio/Kibo,
S. L. P. 4843,
DAR ES SALAAM.

Barua Pepe: pspf@pspf-tz.org          Tovuti: www.pspf-tz.org   

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment