Tuesday 28 May 2013

VIJIMAMBO: PITA PITA YA VIJIMAMBO MEMORIAL WEEKEND HUKO NORWALK CONNECTICUT

VIJIMAMBO
thumbnail PITA PITA YA VIJIMAMBO MEMORIAL WEEKEND HUKO NORWALK CONNECTICUT
May 28th 2013, 23:40

Farida Malya akiwashukuru marafiki waliojitokeza kwenye bbq iliyofanyika nyumbani kwake Norwalk CT. Farida na dada yake waliaanda bbq hiyo siku ya Memorial Day 
Hapa ni baba yake Farida nae akiongea jambo nyumbani hapo
Mama yake Farida nae alipata fursa ya kuongea na kutoa shukrani kwa watu waliojitokeza kwenye bbq hiyo iliyo kuwa imeandaliwa na watoto wao.
Marafiki wakipata nyama choma nyumbani hapo



You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment