Wednesday 29 May 2013

VIJIMAMBO: PITA PITA YA VIJIMAMBO PIO PIO RESTAURANT NEW YORK KWENYE BIRTHDAY DINNER YA BRENDA

VIJIMAMBO
thumbnail PITA PITA YA VIJIMAMBO PIO PIO RESTAURANT NEW YORK KWENYE BIRTHDAY DINNER YA BRENDA
May 30th 2013, 02:04

Birthday girl Brenda akizima mshuma wake wa birthday kwenye dina hiyo iliyo fanyika Pio pio New York.
Brenda akitoa machozi ya furaha 
Akilishwa kipande cha keki na mdogo wake Caroline 
Adela rafiki wa Brenda akipata ukodak na mdogo wa Brenda Caroline kwenye dina hiyo. Kwa picha zaidi bofya read more
Mezani baada ya dina marafiki wakijiandaa kusepa

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment