Tuesday 14 May 2013

VIJIMAMBO: LADY JAY DEE AFIKIRIA KUAMIA MOJA YA NCHI ZA JILANI MOJA KUSINI AU EAST AFRICA

VIJIMAMBO
LADY JAY DEE AFIKIRIA KUAMIA MOJA YA NCHI ZA JILANI MOJA KUSINI AU EAST AFRICA
May 14th 2013, 23:05


Ni masaa machache tu yaliyopita mwanamuziki LADY JAYDEE ameandika kutaka kihama nchi yake hii na kuelekea nchi jirani ya Jamhuri ya watu wa KENYA ...
Jide anafikiria kwenda kuomba uraia huko ama MALAWI katika kuonekana kutaka kujinasua kutoka katika jambo fulani ...
Mwanamuziki huyo ame-tweet kupitia mtanadao wa kijamii wa twitter na kuandika @JideJaydee "Kuna muda pesa tu ndio inaongea sijui nihamie Kenya nikaombe uraia huko? Au Malawi labda, mtanifuata?...
Ni nani atamfuata?? Je ni kuhusu ugomvi wake ulioibuka hivi karibuni ??

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment