Monday 13 May 2013

VIJIMAMBO: VIDEO : DEMU WA KIZUNGU NUSURA AMCHAPE HEMED PHD BAADA YA KUMPULIZIA PERFUME BILCANAS

VIJIMAMBO
thumbnail VIDEO : DEMU WA KIZUNGU NUSURA AMCHAPE HEMED PHD BAADA YA KUMPULIZIA PERFUME BILCANAS
May 13th 2013, 23:33


Ni usiku wa jana wakati PHD akizindua wimbo wake wa Rest of my life ambapo hit maker huyo wa Mama kimbo aliingia kwa stayle ya kuspray perfume kwa fans wake na kwa bahati isiyo nzuri kwa PHD alispray perfume kwa mwanadada wa kitasha aliyekuwa akishout kwa kumwita hemed on stage na Hemed alikosea kwa kudhani kuwa mwanadada naye anataka apigwe unyunyu na hiyo ikawa ndiyo mistake kwa mkari huyo wa music na bongo movie kumbe bi dada alimaindi na alisubili mpaka hemed alipomaliza kufanya yake on stage alimfata backstage na kumsemea mbovu kuhusu kitendo alichokifanya onstage.tizama video hapo juu jinsi mwanadada alivyokuwa akimkoromea PHD

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment