Sunday 19 May 2013

VIJIMAMBO: Wajue Wasanii Mon G na Mwanadada Dina Brown

VIJIMAMBO
thumbnail Wajue Wasanii Mon G na Mwanadada Dina Brown
May 20th 2013, 00:21

 Wasanii Dina Brown na Mon G ! ni cheche za moto mkali !

Tunapoizungumzia Tanzania na utajiri wake wa wasanii na wanamichezo wenye vipaji,kwa hakika kabisa majina ya wasanii wachanga ndio chachu zinazo umua
burudani moto moto katika jamii...ya watanzania.
Majina ya wasanii wachanga yapo mengi,wasanii ambao kwa namna moja au
nyingine wanahitaji kupigwa jeki na sisi watanzania,ili waweze kufikia kilele cha mafanikio katika sanaa,ambazo pia ndio ajira yao.
Juzi kati katika kupekua pekua majina ya wasanii Mon G na mwanadada Dina Brown ni wapya na ni moto mkali...tena moto wa kuotea mbali,
Dina Brown na Mon G wanasikika at

bofya at http://www.bongo-kwanza.com/index.php/artistshowcase

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment