Saturday 18 May 2013

VIJIMAMBO: Yule Kijana Aliyesema kuwa Diamond ni Kaka yake Akanusha na Kusema Si Kweli Nimechezewa mchezo tu Simjui Diamond

VIJIMAMBO
thumbnail Yule Kijana Aliyesema kuwa Diamond ni Kaka yake Akanusha na Kusema Si Kweli Nimechezewa mchezo tu Simjui Diamond
May 19th 2013, 01:34


Katika Hali isiyo ya kawaida yule kijana ambae video yake ilienea mtandaoni akiongea kuwa Diamond ni kaka yake wa damu walio changia baba...na kusema kuwa Diamond Amemtelekeza na kuwa hataki kumsaidia kwa vyovyote....Jana katika Kipindi cha XXL segment ya U-heard Amesema kuwa Hamjui Diamond na wala si kaka yake ....Alipoulizwa kuhusu Video aliyorekodi Akimtuhumu Diamond alisema kuwa alichezewa mchezo na rafiki ake ambae alimwambia Afanye kama ana Act kuongea hivyo coz anafanana na Diamond kwa Sura,,,Baada ya Ku act hivyo alishangaa Kesho yake video imewekwa You Tube na Blogs Kuanza kuandika....So Amesema Si kweli na Amemuomba Diamond Msamaha, Midomo ilimponza 

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment