Saturday 18 May 2013

VIJIMAMBO:

VIJIMAMBO
thumbnail
May 19th 2013, 01:55



MTOTO DEVOTHA GERARD (4 )ALIYEKATWA MAPANGA NA BABA YAKE AFARIKI DUNIA
Mtoto Devotha Gerald (4) aliyepigwa mapanga na baba yake, polisi mstaafu Samson Bwire Amefariki dunia baada ya jitihada za madaktari kuokoa maisha yake kushindikana...
 
Mtuhumiwa wa tendo hilo ambaye naye alipigwa vibaya na wananchi wenye hasira yuko mikononi mwa jeshi la polisi....
 
Tendo hili lilitokea mkoani Shinyanga.
 
Kama haukuona habari hiyo ya kusikitisha, ya kushambuliwa mtoto huyo, iliyotokea juzi usiku, nenda kwenye link ifuatayo:

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment