Tuesday 26 March 2013

VIJIMAMBO: MAANDALIZI YA COVERPHOTO YA MUZIKI GANI BY NAY WA MITEGO FT DIAMOND PLATNUMZ

VIJIMAMBO
thumbnail MAANDALIZI YA COVERPHOTO YA MUZIKI GANI BY NAY WA MITEGO FT DIAMOND PLATNUMZ
Mar 27th 2013, 01:31

Hii Ndio Cover Photo ya Nyimbo ya Nay wa Mitego Aliyonishirikisha Mimi Jina La Wimbo Likiwa ni Muziki Gani...Ndani ya wimbo huo ukiwa na Mengi Manuwia Na Mengi Misemo yakupondana Lakini
kiukweli ni Vionjo tu vya Nyimbo na Kuleta Ladha Nzuri ya Muziki wa Bongo Flavour na Hiphop......!!Zifuatazo ni Picha kadhaa tulizopiga kwa Ajili ya Cover ya Nyimbo Hiyo

Safari ilianzia Home Sweet Home Sinza....!!
kwa picha zaidi bofya read more
Anzoo Mafia & QBoy Mnyama walikuepo Pia kutoa Mchango
wa Mawazo Unyama Gani Ufanyike Juu ya CoverPhoto Hiyo..!!
Ney wa Mitego akiwa Tayari kwa Picha...yanii Light On......
Diamond akijiweka Sawa Kwa Ajili ya PhotoShoot
Qboy Mnyama Akianda Light kwa ajili ya Photoshoot.
Maandalizi yakiendelea...mwanangu wa damu QBoy akiniweka 
Sawa.....Ts All About Kuwa Msafii....!!
Picha kwa hisani ya This Is Diamond Website

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment