Sunday 10 March 2013

VIJIMAMBO: MAZOEZI YAANZA RASMI DMV

VIJIMAMBO
thumbnail MAZOEZI YAANZA RASMI DMV
Mar 11th 2013, 00:12

 Timu ya mpira wa miguu ya Watanzania DMV ikifanya mazoezi jioni ya Jumapili March 10, 2013 katika kiwanja cha Meadowbrook Park mazoezi yalikua mazuri na kuwakumba wachezaji wengine ambao walifika uwanjani kwa ajili ya kufuatilia mazoezi hayo na baadae kuingia tamaa ya kucheza wakati hawakua wamejiandaa na vifaa kwenye picha ni Rich " Wayne Rooney" akiwajaribu kuwatoka Seif Amir Jezi (14) na Mashaka Bilal (wapili kushoto) huku Dedi Luba akimsubili kwenye kona
 Seif Ndossa (mwenye mpira) akiwatoka Seif Ameir (kulia) na Ally Bambino (kushoto)
 Jackson (t-shirt nyeupe) alijaribu kumpita Mashaka Bilal
 Dullah akijariku kupika pasi huku David Ndunguru (kulia akijaribu kuja kukaba
 Jackson akijaribu kuwapita Ally Bambino (kulia) na Yusuf
 Rich " Wayne Rooney" akinyoonya misuli kwa mkwaju mkali
David Ndunguru akijaribu kumpita Dedi Luba
Kwa picha zaidi bofya read more

 Rich "Wayne Rooney" aiomba pasi

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment