Tuesday 5 March 2013

VIJIMAMBO: MWENYEKITI WA JUKWA LA WAHARIRI ABSALOM KIBANDA AVAMIWA NA KUJERUHIWA VIBAYA

VIJIMAMBO
thumbnail MWENYEKITI WA JUKWA LA WAHARIRI ABSALOM KIBANDA AVAMIWA NA KUJERUHIWA VIBAYA
Mar 6th 2013, 06:57



Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Absalom Kibanda,akipata matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuvamiwa. (Picha na Mtandao wa Mabadiliko)

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Absalom Kibanda, amekimbizwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuvamiwa na kisha kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.

Watu hao walimvamia na kumtoa katika gari kisha wakampiga kabla ya kumtupa na kumtelekeza umbali mdogo na nyumbani kwake.
Kibanda aliokotwa na majirani na kukimbizwa hospitalini Muhimbili kwa matibabu ya haraka.
Pamoja na kuumizwa hivyo, hakuna kitu chochote kilichoporwa katika gari lake.




Chanzo: Jamii Forums

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment