Tuesday 26 March 2013

VIJIMAMBO: BABY SHOWER YA MARIA, KANSAS CITY

VIJIMAMBO
thumbnail BABY SHOWER YA MARIA, KANSAS CITY
Mar 27th 2013, 00:06

Maria Muzanila Mushi akipata picha ya Look Of The Day kwenye Baby shower yake iliyofanyika Jumamosi March 23, 2013, Kansas City, Missouri na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka sehemu mbalimbali.
Maria M. Mushi (kati) akipata picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye Baby Shower yake iliyofanyika Jumamosi March 23, 2013, Kansas City, Missouri, nchini Marekani.
 Mariam akiwa na ndugu, jamaa na marafiki wakicheza muziki kwenye Baby Shower yake iliyofanyika Jumamosi March 23, 2013, Kansas City, Missouri.
 Mariam akipata picha 
 Mariam akisakata Rhumba
 Ndugu, Jamaa na marafiki walofika waliofika kwenye Baby Shower ya Maria Muzanila Mushi wakipata picha ya pamoja
 Ndugu, jamaa na marafiki wakipata Ukodak Moment
 Kadogoo akifurahia Ukodak Moment
 Maria katika picha
 Ndugu, Jamaa na marafiki wakionyeshana kitu wakati wakipata picha ya pamoja
Ni rhumba kwa kwenda mbele

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment