Tuesday 26 March 2013

VIJIMAMBO: Kaya 3 zakosa makazi baada ya nyumba zao kuteketezwa kwa moto-Tarime.

VIJIMAMBO
thumbnail Kaya 3 zakosa makazi baada ya nyumba zao kuteketezwa kwa moto-Tarime.
Mar 27th 2013, 00:09

Kundi la wananchi wenye hasira huko Tarime mkoani Mara limevamia nyumba tatu na kuziteketeza kwa moto pamoja na mashamba yao kwa madai ya kuwatafuta watuhumiwa wa ujambazi waliovamia kwa mfanyabiashara mmoja na kupora kisha kumuua mpita njia mmoja.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment